Wana CCM wamshukia Dk. Slaa

Zipo habari nyingine kuwa wenye busara wachache ndani ya CCM wametahadarisha kuwa maandamano haya ndo yatakayokisumbua zaidi chama.

Hayo yamekuja baada ya kuonekana kuwa ndani ya hoja ya rais zinazosifiwa ni pamoja na ile ya muungano ambayo imewakwaza watu wa visiwani.
Wazanzibari kwa pamoja wanashangaa kwamba wabara wanashangilia wao kunyimwa nchi.
Sasa labda kwa kutumia tu busara maandamano haya yatasitishwa ama sijui watatafuta mbinu gani nyingine ya kutoka kwenye hiyo hoja.

Kumeza kichungu kutema kuchungu.
 
Hizo tenda za kilimo watapewa kina nani?????????????? hao hao mafisadi alhamdulilah

Lengo ni kuzizungusha hizi fedha ziwarudie wale wanaotakiwa kurudisha kabla ya nov 1 ili waweze kurudisha na kesi yao iishie hewani.
 
Hawa jamaa wa CCM yani ziro kabisa hata ziro nafuu yani negative infinity.

Sasa wana andamana ili iwe je? mijamaa sijui shetani amayashika masikio.

Tangu lini mwizi akapewa mda wa kurudisha alicho aiba ? aliyewapa mda ndio aliyeziiba huo ndio ukweli.

Polisi wapo hapo kufanya nini? Polisi wanafanya nini?? mimi nafikiri kazi ya polisi ni kuwatia nguvuni wote wezi na washukiwa na hatimaye mahakamani na huko ndiko hukumu inatoka yakuwaacha huru,ama kufidia walichoiba,ama jela.

Mimi ningekuwepo Bongo ningeendamana MWEZI mzima peke yangu ni kitaka KASUSURA naye apewe mda wa kuripa deni.

Ili hizo fedha ziwekwe kwenye elimu wanafunzi wa elimu ya juu wasiandamane sana na kupoteza mda wa kua darasani.
 
Na hivi ndivyo Citizen walivyoweza kuripoti maandamano husika.


CCM stages rally over JK asdress
By Citizen Reporter

CCM members and supporters held a rally at Mnazi Mmoja grounds in Dar es Salaam yesterday in support of President Jakaya Kikwete's state of the nation speech in Parliament last week.

Mr Kikwete's marathon speech that touched on many sensitive national issues, has generated mixed reaction among Tanzanians with some supporting it, while others claiming that it did not resolve the Sh133 billion theft at the Bank of Tanzania external payments arrears (EPA) account.

This reporter witnessed less than 500 green-clad members of the ruling Chama Cha Mapinduzi, who sang party slogans before they were addressed by top leaders. Most of them were brought in from the suburbs by hired buses and a number of small vans, suggesting that the gathering did not attract many city-centre dwellers. One of the vehicles was a Scandinavia bus which was driven by a Tanzanian of Asian origin.
Addressing the gathering, Information, Culture and Sports minister George Mkuchika called on CCM members to disregard opposition claims that the Government has lost direction, maintaining that "members of the opposition will always oppose CCM because they are registered to do so."

Members of the opposition and other civic societies have faulted the President on many fronts. Chairman of the Civic United Front Prof Ibrahim Lipumba has questioned what he called double standards in dealing with criminal suspects. He wondered why Government was reluctant to charge in court EPA's �proven culprits.'

Chadema secretary general Dr Wilbroad Slaa took swipe at the speech, claiming that the President has no powers to grant amnesty to un-prosecuted criminal suspects and that it was equally unconstitutional to apportion public funds outside Parliament�s authority.

Meanwhile, CCM members in Morogoro are today holding a procession in support of President Kikwete�s speech.

Speaking to reporters yesterday, Morogoro CCM district chairman Nicholaus Mvanga said party members reached a decision to hold a procession after they were satisfied with the speech that clarified a number of sensitive issues.

'The president�s speech has opened our eyes as it responded to several hitherto un-answered questions lingering into the minds of people," said the district chairman.

He explained that CCM secretary general Yusuf Makamba would receive the procession to start from CCM district office to Masika grounds to be followed by a public rally at the same place.
Additional reporting by Lilian Lucas in Morogoro.
 
Kama hali yenyewe ndio hii, ccm wanatakiwa kuchunga sana. Kuwalazimisha watu kukubali uongo, inaweza kuwagharimu sana
 
Bora Zitto waelezee huko bungeni kuwa Pesa za EPA mnapaswa kugawa ninyi wenyewe sasa budget maana yake nini.
Nashukuru ulivyowaeleza kuwa zinatakiwa ziende kwa kabidhi wasii mkuu kwa kuwa hazina wenyewe Bravoo.

Hata hivyo waandishi wa habari na hao CCM hawakuelewa alichoongea Mh. Dr SLaa ingekuwa vyema waende waksome tena alichoongea Dr Slaa
 


Mleta hii habari alifikiria nini kabla hajaileta hapa ?
 
Aliyeandika hii habari ashindwe na alegee na mashetani yake ya kifisadi...ameandika KINYUME kabisa na alichosema Dr Slaa.

Dr Slaa alisema "Dimension ya pili ni Raisi kukubaliana na lile tulilokuwa tunalisema tangu mwanzo kuwa...Fedha zirejeshwe, zijulikane zilipo..kisha ziende kupunguza makali ya maisha ya mwananchi. Tunafurahi Rais amekubali fedha ziende kwenye mfuko maalumu wa serikali ili zitumike kwenda kwenye ruzuku ya kilimo...hilo tunalikubali tunasubiri utekelezaji wake."

Maelezo ya Dr Slaa bado yapo kwenye KLH News...sikilizeni wenyewe http://www.klhnews.com/index.php/podcasts/sehemu-ya-hotuba-ya-rais-na-majibu-ya-dr.-slaa.php
 
Kwanza wangejua kwamba hiyo TIB ina branch moja tu ambayo ipo Samora avenue na zone Office iliyopo Arusha (imefunguliwa mwaka jana) japokuwa benki ipo toka miaka ya 70 ndo wangejua kwamba mkulima wa kawaida hatopata hiyo mbolea wanayoongelea..........
 

You morons [wandishi wetu/Daily News] son of CCM !!!?! And you call this journalism? Kwanini headline isisomeke: "wananchi CCM watofautiana na Dr. Slaa?" Hata hamjui jinsi ya ku-spin mambo kwa jinsi mlivyo mbumbumbu. Ona...
alisema Abdul jana akiwa katika maandamano ya wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
 
Kumbe mnashindana na habari za kutunga ,maana gazeti ni Daily News,linatumika kupotosha wananchi.
Na yaogope na waogope waandishi wanaosema kuwa walimuhoji fulani na fulani nae fulani kasema hivi ,ukiona kunaanza kuingia habari za kuhusishwa watu kiana hiyo basi jua kuwa hilo ni dongo au jungu.
Nilipoona tu mwandishi amehojiana na Mohamed Abdul ,basi hapo hapo nikaigeuza hiyo habari na kuiweka katika kundi la hadithi za kale.
Nilipoendelea kuisoma hadithi hiyo nikaona Naye Mussa Ibrahim ambaye anaishi Temeke. Nilipozidi kuisoma hadithi hii ya mwandishi wetu nikakuta bado ana majina hewa anayabandika eti Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Mary Alphonce , kuendelea mbele kidogo mambo yakawa yanaendelea ...Naye Moses Elias wa Tabata.
Kabla ya mwisho alimalizia kwa kuandika nae Mwiba wa mitaa ya Jamii forum alimsifu Mheshimiwa Raisi kwa kukiri kuwepo kwa Utatu katika Tanzania.
 


Mwiba! umewapatia vizuri sana waandishi wa habari wa Bongo. ukiishaona habari imejaa majina ya watu waliohojiwa na muandishi wa habari husika kaa chonjo. ukiishaona mwandishi hakufanya juhudi ya kupata maoni ya upande wa pili, hapa ni Dr Slaa, na badala yake tunaambiwa "simu yake ilikuwa haipatikani hadi tukienda mitamboni" ujue hiyo ni mhariri amekaa mezani na kutunga hadithi! jumlisha na ufahamu mdogo wa mambo wa watu wetu, tumekwisha!!!
 
Huyo alieileta ni "planted"asiyejua what to do and how also when.....nampa pole sana maana amepotoka anataka kumtafutia na kumzulia Dr Slaa,hawana hoja wanatafuta cheap......wamuache Dr Slaa maana kwanza wamembania anatakiwa apewe tuzo ya shujaa wa Taifa.......kuthubutu kutamka na kulianzisha sakata la Richmond na mengine....Tangold etc....nani angethubutu kwa kasumba iliyojijenga miongozi mwa wabunge...wengi waogaa
na wanafiki?
 
Nawashangaa hawa ambao leo wanaandamana wakidai eti kuwa pesa hizo zinaweza kuwanufaisha wakulima kisa zimepelekwa TIB na mfuko wa pembejeo....

Kama mabilioni ya JK yalipelekwa kila mkoa na wananchi hao hawakuweza kunufaika wala kuzipata japo zilikuwa zinasambazwa na benki zenye mtandao mpaka huko vijijini sembuse hizi zinapelekwa TIB ambayo wana branch moja tuuu DSM?
 
hii inaonyesha dhahiri jinsi ambavyo waandishi wengine wa habari walivyo na uelewa mdogo na jinsi gani wanaweza kutumiwa na mafisadi kupotosha jamii kwa manufaa ya mafisadi wakati wenyewe wakibaki na malipo ya vijilaki na kamera kubwa mikononi huku mikono ikiwatoka jasho.

Kwani ni dhahiri Dr.Slaa anaweza akazungumza kitu na hata mmoja mle bungeni asimwelewe. Hivi kweli ulimwelewa Dr. Slaa au tu uliamshwa usingizini na kuambiwa andika hivi, vile au vinginevyo.

Tunakwenda wapi sasa. Hao wananchi waliomshukia walisimama wapi au unaongelea hao waliopumbazwa na wana CCM kwa manufaa ya viongozi wao wakati wao wakiambulia nguo za kijani kama vinyonga!!!!!!!!

Kabla hujaleta habari yako hapa basi jitahidi hata kupanga uongo wako ili uelweke umeamua kuleta habari za kidaku kwa watu wastaarabu wanaojaribu kuangalia jinsi gani watanzania watajikwamua.
 

mi simo!!! lakini hao ndio waandishi wenu tanzania
 
Laiti kama huyu jamaa angejua kuwa maana ya Raisi kusema hizo fedha za EPA ziende kwenye kilimo ni kurudisha hizo fedha kwa Kagoda Agriculture Ltd asingesema hayo aliyoyasema.

Shame on you ccm members, yaani mnashiriki kuliangamiza taifa hili kwa eti kuandamana kuunga mkono hotuba ra msanii?

Do!!! kazi tunayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…