Wana CHADEMA ,mlisha mtema mwenyekiti wenu,mpeni uhuru wake awe huru

Wana CHADEMA ,mlisha mtema mwenyekiti wenu,mpeni uhuru wake awe huru

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Leo tatehe 17/July,nimeshuhudia matusi,kejeli kutoka kwa wana chadema,juu ya mh.mbowe kuhudhuria katika suala ambalo linakwenda kutengeneza hatima ya maisha ya mtanzania kwa miaka 25 ijayo,Mbowe alialikwa na Kitila mkumbo,katika shughuli husika kama mchangiaji mkubwa katika utengenezaji wa sera na mazimio ya taifa letu,

Mbowe mlisha mtema,kwa nafasi ya UENYEKITI sasa hatufahamu kwa nini bado anawatesa sana wana CHADEMA

N.B,Mwacheni awe huru na ashughulike na shughuli zake katika ngazi ya TAIFA,kwa cheo ambacho alisha fikia na heshima kubwa ambayo ameshawahi kukipa chama,kwa sasa mbowe ni shujaa wa kitaifa na anastahili heshima zote!
1752759281676.jpg
 
Kwamba kuna mtu amemfunga miguu au mnyororo? Mpeni Lissu uhuru, Mbowe tayari yupo huru na ni mwana ccm mtiifu
 
Kwamba kuna mtu amemfunga miguu au mnyororo? Mpeni Lissu uhuru, Mbowe tayari yupo huru na ni mwana ccm mtiifu
Msimtukane anapohudhuria dhima za KITAIFA,(Hatuongelei mambo ya CHADEMA tunaposhuhulika na mambo ya kitaifa) katika mambo ya kitaifa chadema ni kakitu kadogo sana.
 
Leo tatehe 17/July,nimeshuhudia matusi,kejeli kutoka kwa wana chadema,juu ya mh.mbowe kuhudhuria katika suala ambalo linakwenda kutengeneza hatima ya maisha ya mtanzania kwa miaka 25 ijayo,Mbowe alialikwa na Kitila mkumbo,katika shughuli husika kama mchangiaji mkubwa katika utengenezaji wa sera na mazimio ya taifa letu,

Mbowe mlisha mtema,kwa nafasi ya UENYEKITI sasa hatufahamu kwa nini bado anawatesa sana wana CHADEMA

N.B,Mwacheni awe huru na ashughulike na shughuli zake katika ngazi ya TAIFA,kwa cheo ambacho alisha fikia na heshima kubwa ambayo ameshawahi kukipa chama,kwa sasa mbowe ni shujaa wa kitaifa na anastahili heshima zote!View attachment 3409001
Mbowe hahitaji kupewa uhuru mwingine, huu alionao unamtosha sana.
 
Back
Top Bottom