Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe.

Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa wilaya, Ocd na OC Cid mwingine, mnaona kama kwaida.

Mnafurahia haya yanayoendelea kumsibu huku mkisahau yanayomsibu Mwamba.

Je likitokea lolote na mambo yakabadilika itakuwaje?
 
Nasema hivi, CDM ndio brand inayouza sana, ukitaka uzi wako upate wachangiaji wengi ni kuitaja CDM. Huhitaji kupanick maana huu ndio ukweli.
Imetajwa kwa namna gani? Imetajwa tajwa tu? Hapa hoja ni wafuasi na wanachama wa Chadema kumchukia Sabaya ulitegemea nini? Umeishia la ngapi?
 
Hii ndio namna ya kujizolea umaarufu hapa mitandaoni. Halafu sio wewe tu, mko wengi mnaotumia mbinu hii ya kujizolea umaarufu.
 
Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe.

Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa wilaya, Ocd na OC Cid mwingine, mnaona kama kwaida.

Mnafurahia haya yanayoendelea kumsibu hukumkisahau yanayomsibu Mwamba. Je likitokea lolote na mambo yakabadilika itakuwaje?
You are right...
 
Back
Top Bottom