Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

Na inavyoelekea anaenda kushinda kesi zake hata baada ya hukumu...
 
Sasa chadema wamekosa nini. Mbona vichekesho. By the way sabaya amekonda mno msiache kumtembelea huko jela
Pamoja na kula vipande vya nyama anavyopewa na nyapara bado amekondeana Kama mbuzi wa Kiha. Jamani kisongo upende upasikie tu.
 
Back
Top Bottom