Ujinga huu nenda kahadithie Chato.Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe...
Sasa kwanini nyie ccm msimsaidie mtu wenu aliyewasaidia kushinda jimbo la hai?Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe.
...
Ujumbe upo wazi kabisa.
Imetajwa kwa namna gani? Imetajwa tajwa tu? Hapa hoja ni wafuasi na wanachama wa Chadema kumchukia Sabaya ulitegemea nini? Umeishia la ngapi?Nasema hivi, CDM ndio brand inayouza sana, ukitaka uzi wako upate wachangiaji wengi ni kuitaja CDM. Huhitaji kupanick maana huu ndio ukweli.
Kamanda umenena vyema.Takukuru,polisi, mahakama na magereza ndiyo Chadema????
Vijana mkipata vyeo acheni kujifutua kama vifutu.
Kavurugwa huyo , hilo JAMBAZI mwenzie Sabaya linatuhusu nini sisi CHADEMA.Mbona kama unajichanganya mwenyewe!
Imetajwa kwa namna gani? Imetajwa tajwa tu? Hapa hoja ni wafuasi na wanachama wa Chadema kumchukia Sabaya ulitegemea nini? Umeishia la ngapi?
Imetajwa kwa namna gani? Imetajwa tajwa tu? Hapa hoja ni wafuasi na wanachama wa Chadema kumchukia Sabaya ulitegemea nini? Umeishia la ngapi?
You are right...Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe.
Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa wilaya, Ocd na OC Cid mwingine, mnaona kama kwaida.
Mnafurahia haya yanayoendelea kumsibu hukumkisahau yanayomsibu Mwamba. Je likitokea lolote na mambo yakabadilika itakuwaje?