Wana CHADEMA mtaweza?

Wana CHADEMA mtaweza?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Tunaona majilabu mengi sana kila unapokuchwa na hawa Chadema ,siku hizi wanasema CHADEMA DIGITAL, kila sehemu unasikia wananchi wengi wanahidhuria na kujiunga au kuitikia wito.

Suali:
Je, wanaweza kuitikia wito wa chama watakapohitajika kupinga zulma kwa hali na mali na uhai, tuseme Chadema wenyeviti na meza wamesema wananchi wote tarehe fulani waandamane nchi nzima kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi?

Je, wananchi hao wapo tayari kuitikia wito huo na kujitokeza barabarani kudai madai nyeti ya KATIBA na Tume Huru ya Uchaguzi?
 
Kanywe uji kwanza ukate hangover ya wanzuki ndiyo uje jamvini
 
TBT Crew - Kuna ubwabwa humoooo, Lupilipili ma na luchumvi ma inakolea kosingo.
 
Back
Top Bottom