Pre GE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda.

Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura.

Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka.

Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu.

#HakiUinuaTaifa
 
Baada ya uchaguzi kutakuwa na Safari mbili za mapumziko, Dubai na Belgium
Walinzi tutakwenda wapi?
 
Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda.

Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura.

Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka.

Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu.

#HakiUinuaTaifa
Kura zipigwe ndani ya jengo, zihesabiwe ndani ya jengo wewe huko nje unalinda nini?

Pia eleweni sheria za biashara .Chadena wamekodi ukumbi hawajakodi viwanja vinazunguka ukumbi kuwa mkajazane huko.kama mkutano wa hadhara

Mkitwanga virungu na polisi kuwa wavamizi wakati nyie sio wajumbe msilaumu polisi

Wahusika wote wanatakiwa kuwa ndani ya ukumbi sio nje ya ukumbi

Huko ndani ya ukumbi kila mhombea huwa na mawakala kuna mawakala wa wagombea

Team Lisu mnatapa tapa sana baada ya kuona kushindwa kwenu kuko wazi

Tiini sheria bila shuruti
 
Kura feki za Mbowe leo tunazizuia.
 
Back
Top Bottom