Kura zipigwe ndani ya jengo, zihesabiwe ndani ya jengo wewe huko nje unalinda nini?
Pia eleweni sheria za biashara .Chadena wamekodi ukumbi hawajakodi viwanja vinazunguka ukumbi kuwa mkajazane huko.kama mkutano wa hadhara
Mkitwanga virungu na polisi kuwa wavamizi wakati nyie sio wajumbe msilaumu polisi
Wahusika wote wanatakiwa kuwa ndani ya ukumbi sio nje ya ukumbi
Huko ndani ya ukumbi kila mhombea huwa na mawakala kuna mawakala wa wagombea
Team Lisu mnatapa tapa sana baada ya kuona kushindwa kwenu kuko wazi
Tiini sheria bila shuruti