Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Wow shem Cantalisia nimefurahije kukuona? mwaJ habari zake anazifahamu uzuuuuri kabisa babu yako Asprin maana ameshindikana! khaaa mi niko mpakani na malawi, najiandaa kwa vita!
Fanya maandalizi ya kutosha urudi salama, hawa wajukuu siwawezi peke yangu.

attachment.php
 
Wow shem Cantalisia nimefurahije kukuona? mwaJ habari zake anazifahamu uzuuuuri kabisa babu yako Asprin maana ameshindikana! khaaa mi niko mpakani na malawi, najiandaa kwa vita!

Hahahaha!am back shem wangu Kaizer,asa naona hapa km unapotezea flan but ngoja nicheki na babu Asprin atanijuza,huko mpakan uko dada mkubwa au.......!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom