Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Asprin nimecheka mpaka sioni kwa machozi! Maelezo na hizo picha 2 za mwanzo na hiyo ya Mamndenyi akimchekesha Yummy zimenimaliza. Ila hiyo ya Kaizer akimsindikiza mwaJ haikufunguka. Nitarudi baadae na blouse ya kumvisha Yummy!
 
Last edited by a moderator:
Wajemeni! Mmemwona Asprin na vituko vyake vya picha za kuchekesha sio? Sikukosea sana nilipoanzisha thread maalum kwa ajili yake hapa cc. Sasa naomba twende mbali zaidi. Mwisho wa mwaka huu tuanzishe tuzo maalum ya "JF Comic Photographer of the Year" Au mwasemaje Invisible na Mike McKee? Naomba wana cc wote tuunge mkono hii hoja!
 
Last edited by a moderator:
Imeanza ya maneno, siye tunajipanga na magari y deraya na vifaru so kudinyana marufuku khaaa! Kuwa mjeda kaaz kwel kwel

Khaaaaa!inawezekanaje kazi bila dawa?asa ile mizuka ikiamka mnasolve vp hiyo ishu lol!karibu niko namlisha Rejao wangu pre chaucku lol!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa jamaa ana stahili tunzo huyu! Anatisha sana

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…