Wana Chit chat namtafuta wa kuniliwaza

Makamuzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
1,155
Reaction score
264
Habari wana chitchat.
Nimekuwa mfutiliaji sana na mshiriki wa JF hasa jukwaa la siasa na mara chache nimekuwa nikiingia hapa .
So kupitia hapa namtafuta mwanachitchat mdada wa kuniliwaza japo nammezea mate preta...lol!
 
Sema mpenzi......unataka nini la aziz..........?
 
Ooh kweli !!!.....nipe basi anuani ya ulipo nije.........

Oooh...dn wory ntakupitia hapo sa hv ..maana najua kuna vijana kama manoah wanakusumbua sana
 
Jirani mi mzima kabisa naendelea vyema Preta
Makamuzi kweli napita wala sina mpango wa kukusumbua aise maana naona kuna jambo zito linaendelea hapaj
 
Last edited by a moderator:
Haya maongezi mbona yamekua mafupi???...hapa nahisi kuna mtu alimuibukia mwenzake kwenye server
 
He he.......hiyo ndio habari ya mujini.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…