Ya msimu tu hayo.. 🙂 🙂Mimi nilitegemea mtaitana kwa ajili ya kuendeleza ujasiliamali wa ufugaji kamabare, samaki, uvuvi, mashindano ya uogeleaji na mashidano ya kuendesha ngalawa na mtumbwi kabla ya msimu wa mvua kuisha.
Ni ushauri tu. Jadilini uwekezaji ndugu zangu.
Pia hao wanaolala hapo nje ya jengo wanachafua sana mazingira kiasi cha kutoa kinyaa. Wanaanika malapulapu yao kwenye kuta.
Mkileta ubishi hapa natumbukiza picha za mazingira ya ofisi yenu. Nendeni kafanye usafi pamoja na kupiga Rangi jengo.
Bure kabisa hawa, wamewashindwa Kagera Sukari.View attachment 509018 Tuwakaribishe pamoja na hii Kamati yao ya Ufundi - ya Simba Sports Club.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 509018 Tuwakaribishe pamoja na hii Kamati yao ya Ufundi - ya Simba Sports Club.
Wewe nenda katafute bakuli mpite mitaani kukusanya 14b za kumlipa MooooooMimi nilitegemea mtaitana kwa ajili ya kuendeleza ujasiliamali wa ufugaji kamabare, samaki, uvuvi, mashindano ya uogeleaji na mashidano ya kuendesha ngalawa na mtumbwi kabla ya msimu wa mvua kuisha.
Ni ushauri tu. Jadilini uwekezaji ndugu zangu.
Pia hao wanaolala hapo nje ya jengo wanachafua sana mazingira kiasi cha kutoa kinyaa. Wanaanika malapulapu yao kwenye kuta.
Mkileta ubishi hapa natumbukiza picha za mazingira ya ofisi yenu. Nendeni kafanye usafi pamoja na kupiga Rangi jengo.
Kwa hiyo wewe kuanika chupi kwenye ofisi za club ndio sahihi? By the way, matatizo na yanga na SIMBA hayatofautiani. Wanabadilishana misimu tu.Wewe nenda katafute bakuli mpite mitaani kukusanya 14b za kumlipa Moooooo
Klabu inaendeshwa na wahuni hawajui hata maana ya mkataba, leo hii wewe ndio wa kutushauri sisi.
Hapa mtu hawezi hata kuanika chupi yake, maana chupi ndio itachafuka
Kesho mkuuMechi ya yanga na toto lini?..
kwikwikwiiiiWatachafua hali ya hewa bana
Hivi jengo la yanga na simba lipi chafu..Kwa hiyo wewe kuanika chupi kwenye ofisi za club ndio sahihi? By the way, matatizo na yanga na SIMBA hayatofautiani. Wanabadilishana misimu tu.
Ila frankly speaking, jengo ni chafu na linaongezewa uchafu na malapulapu.