Nsibhwene
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 293
- 217
Mimi nilitegemea mtaitana kwa ajili ya kuendeleza ujasiliamali wa ufugaji kamabare, samaki, uvuvi, mashindano ya uogeleaji na mashidano ya kuendesha ngalawa na mtumbwi kabla ya msimu wa mvua kuisha.
Ni ushauri tu. Jadilini uwekezaji ndugu zangu.
Pia hao wanaolala hapo nje ya jengo wanachafua sana mazingira kiasi cha kutoa kinyaa. Wanaanika malapulapu yao kwenye kuta.
Mkileta ubishi hapa natumbukiza picha za mazingira ya ofisi yenu. Nendeni kafanye usafi pamoja na kupiga Rangi jengo.