ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Ni faraja iliyoje kukuta uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya
Anaitwa Inkoskaz nimekosea pale juu id yake
Mkuu asante..naendekea vema.madaktari na wauguzi kwa uwezo wake mola wamefanya kazi yao kwa ufanisi na hivyo kunipa nafuu
Ni janga linalochukua muda mrefu kutengemaa.uvumilivu na imani ni silaha kuu
unifikishie na salamu zangu rafiki....Pole sana mwana jf mwenzetu. ladyfurahia tujuze namna ya kumpata hapo naweza pitia pale Ili nikamwone.