Mkuu asante..naendekea vema.madaktari na wauguzi kwa uwezo wake mola wamefanya kazi yao kwa ufanisi na hivyo kunipa nafuu
Ni janga linalochukua muda mrefu kutengemaa.uvumilivu na imani ni silaha kuu
Naona analike hum ndani its a sign anapata nafuu!!!!
Mungu amponye na kumuondolea maumivu.
Nashukuru kwa nasaha njema Lady doctor
Ushauri wangu kwa wanaJF wote especially wasio katika ajira za serikalini ambazo wengi wao wameingizwa Bima afya nibora kama kampuni yako au taasisi haijakupa bima afya ama AAR au STRATEGY ni vema kujiunga kwani linapotokea janga la kiafya ni msaada mkubwa wa matibabu hapa nchini na nje kama kenya..south africa na india.pia ni suluhisho kwa gharama kubwa za tiba kama hapa MOI chumba tu ni 50-75,000 kwa siku ikiwa haijumuishi gharama za tiba..madawa..upasuaji..xray..ct scan..maabara..ushauri na huduma nyingine
Mimi ni shuhuda wa kasoro hiyo nimeona madhara yake hivyo nisingependa iwayokee wengine
King'asti acha nicheke mie nipunguze maumivu, hapa nilipo nishakuwa balozi maana kukaa toka 19 July si mchezoAisee pole sana Inkoskaz. Umepotea nikajua umerushiwa kaubalozi hivi. Kweli binadamu maisha haya, Mungu atunusuru.
Umeongea jambo la msingi kuhusu insurance nzuri zaidi ya nhif. Kiukweli ni muhimu sana kujilipia insurance. Usijali, kuishi ni kujifunza. Mungu akuponye.
nitkujuza nikiwa dar, maana niko nakimbiza na wakulima wa mkoaniTaratibu ni wana Darwing kujiorganize na kwenda weekend kumuona ningependekeza jmosi hii tukamwone pale
Ni faraja iliyoje kukuta uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya

Ni faraja iliyoje kukuta
uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia
kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni
kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha
biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho
kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya
Ni faraja iliyoje kukuta uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya
Mkuu Maxence Melo na wadau wengine nawashukuru kwa kuguswa na hili jangaInkoskaz,
Mungu yu mwema sana! Ndio naiona hii thread. Ntawasiliana na wenzangu tuje kukuona. Pole sana.