Ni faraja iliyoje kukuta uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya
King'asti acha nicheke mie nipunguze maumivu, hapa nilipo nishakuwa balozi maana kukaa toka 19 July si mchezo
Kumbe balozi mwenzangu...tushawazoea maana wakienda wakirudi tupo tu..lazima ucheke nao hawa wasije wakakunyima sindanohukawii kuoa nesi hapo aisee, na walivyo na mashepu hao wadada hapo? Make sure unachukua namba za simu aisee.
Pole wangu, nilishauguza mgonjwa critical miezi 4, hadi leo nikienda hiyo hospitali hadi walinzi wananijua na maabara sipangi foleni.
Get well soon, Mungu akunusuru.
Wapendwa wadau wote
Nimefarijika kwa namna mlivyonifariji humu jamvini.
Leo hii nimepata discharge nikajiuguze nyumbani na pia nipunguze mzigo wa gharama za kuwapo hapa hosp
Nawashukuru nyote bado tutaendelea kuwasiliana humu na hata kwa simu zangu nilizozitoa
Siku njema!!
asante sana..nitakujulisha bestPole,
Siku ukija kwenye mazoezi nishtue ili nikusalimie wangu.
Pole sana rafiki.
asante sana..nitakujulisha best
Dah...
Ndo naona huu uzi.
Pole sana mkuu..... pole sana
Wapendwa wadau wote
Nimefarijika kwa namna mlivyonifariji humu jamvini.
Leo hii nimepata discharge nikajiuguze nyumbani na pia nipunguze mzigo wa gharama za kuwapo hapa hosp
Nawashukuru nyote bado tutaendelea kuwasiliana humu na hata kwa simu zangu nilizozitoa
Siku njema!!
Dahh nimeishiwa pumzi ghafla baada ya kuona hii thread pole saana mkuu