PostGE2025 Wana Diaspora wa Tanzania nchini Marekani, DICOTA Watoa Pole kwa Watanzania na Kuiombea Nchi Amani

PostGE2025 Wana Diaspora wa Tanzania nchini Marekani, DICOTA Watoa Pole kwa Watanzania na Kuiombea Nchi Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Hii ni taarifa ya Wana Diaspora wa Tanzania nchini Marekani chini ya DICOTA
Screenshot_20251105-185211.png

Paskali
 
Wanabodi

Hii ni taarifa ya Wana Diaspora wa Tanzania nchini Marekani chini ya DICOTA
View attachment 3497841
Paskali
Leo naisubiria reflection ya DICOTA kwa kumbukumbu ya siku hii.
Leo tarehe 29 October, 2026 ni kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kilichotokea October 29, 2025. Mimi naiadhimisha siku hii kwa kutafakari kwa kuyatembelea mabandiko yangu, ya post October 29, 2025.

Ila Watanzania tuendelee kupeana pole, kwa kilichotokea, mwaka mmoja ni kipindi kirefu, kuna badhi ya wenzetu wame heal kutokana na muda mrefu kupita, katika kumbukizi ya kilichotokea, tukumbuke kwa kiasi, tusije kujikuta tunapitiliza na kufumua makovu, na kutonesha tena kile kidonda na kuleta machungu upya, tujifunze kusamehe hata bila kuombwa msamaha, ili maisha yaendelee.

Mungu Ibariki Tanzania.

Mzee Pasco.
 
Back
Top Bottom