Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
dah, enzi ya mzee kabongo, samwel sitta, gen. Lupogo! Nilipiga buku pale na kina steven kibasa, emanuel luvinga, imani mzungu, mabrouk kina huwel, samel sitta jr, damian masasi enzi za teacher Hassan ukipelekwa uwanja wa damu umekwisha. Rip mwl. Dule, mama mwakajila aunt yangu jamani, kina shambe, abdul masoli, du long time.
Shambe wapo ila wamekuwa 'VYA-POMBE" Mama yao ndio tajiri mkubwa pale ana-miliki ghorofa refu kuliko yote Iringa...