Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
dah, enzi ya mzee kabongo, samwel sitta, gen. Lupogo! Nilipiga buku pale na kina steven kibasa, emanuel luvinga, imani mzungu, mabrouk kina huwel, samel sitta jr, damian masasi enzi za teacher Hassan ukipelekwa uwanja wa damu umekwisha. Rip mwl. Dule, mama mwakajila aunt yangu jamani, kina shambe, abdul masoli, du long time.
LAT hili jina la Godfrey Mbwilo nalikumbuka alikuwa anakaa wapi kwa pale Iringa,By the way Mercy Sanga hivi sasa ndi Mariedo wa Iringa ana duka kubwa la nguo opposite na ilipokuwa BAKWATA Dispensary...duh, inawezekana tulikuwa wote lakini niliondoka 1983, namkumbuka rafiki yangu Godfrey mbwilo
Kweli kabisa umeisahau Mapinduzi...
LAT hili jina la Godfrey Mbwilo nalikumbuka alikuwa anakaa wapi kwa pale Iringa,By the way Mercy Sanga hivi sasa ndi Mariedo wa Iringa ana duka kubwa la nguo opposite na ilipokuwa BAKWATA Dispensary...
mkuu. nimeishaisahau iringa kabisa
na wewe tusker baridi umekula chumvi kumbe! Kh kh kh kh! Mie tulikwa ma-LY (last year-std 7) mwaka 1993!
shambe yule dingi nae! Rip. Mungu amrehemu tu!
Mapinduzi, full gabachori ha ha ha ni kweli mkuu.
Gangilonga naikumbuka sana.namkumbuka sana mwl hassan(m'baku) na uwanja wa damu,gombe sugu.acha kabisa ilikuwa balaa yule mwalimu.nawakumbuka mwl kyambile,mwakalalile,matembo,mfilinge na wengine wengi.wanafunzi niliosoma nao mimi ni shambe,julius ngatunga,sanura nurdin(mtt wa DD wa gangilonga),christina mwakangale,halima,nyamizi bila kumsahau wende jacob nyimbo,lista kulanga,doto na kulwa,catherine,judith beshobeza na wengine wengi.tulikuwa tunaenda sana jiwe gangi kula matunda pori.i real remember those times.kweli wakati ni moshi
clement kiwia yupo wapi, tulikuwa tunakaa opposite pale karibu na TANCUT
Gangilonga imebalika sana,wamekata miti.Vumbi mtindo moja.
Tukumbushane highlands pia.Mnakumbuka karani mnoko Hamisi Aka mwalimu hamisi?
Kwenye uwanja wa redcross, mimi nilikuwa nagholofa ya kinondoni clemence mara ya mwisho tulikutana dar akiwa engeneer wa ndege.