Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Mimi nilikuwa naishi gangilonga,ulikuwa unakaa Quarters gani, za railways?mi pia nimesoma highlands na nimecheza basketball na Hemedi,Dosi,yohana,wanini,jimmy,said na mwalimu kibasa na Dr kibasaMm sijasoma Gangilonga ila nimekaa hapo quarters za gangilonga karibu kabisa na skuli yenu naipenda iringa ingawa si mwenyeji wa huko ,nimecheza basketball hapo kleruu na nliwahi soma highland kwa miezi saba!lugalo nako kuko pouwa good memories mleta mada umenikumbusha mbali nlitokea kukupenda iringa sana.
Baba yao alikuwa anaitwa tweve na alikiwa tajiri sana bila shule.ila sasa kafilisikaClass yangu ilimaliza 1987... ila mimi nilihama 1986... ila kwakuwa nilikuwa nao tangu 1983 nilikuwa nao lazima nijitaje miongoni mwao maana ilikuwa Sept 1986 Maskini Esteriche hivi ukoo wao ulikuwa ni upi???
Baba yao alikuwa anaitwa tweve na alikiwa tajiri sana bila shule.ila sasa kafilisika
Masasi na chalamila wote wamefilisika(wote ni marehemu)Yeah nimemkumbuka Mzee Tweve... Duuh
Mnamkumbuka Ras Makosa??? Alikuwa Coaster kadhaa Hotel na Hospital pale Sokoni sasa hivi amekuwa kama kichaa...Kafilisika sana,hana hata senti,kutwa yupo kwenye Bar za Ulanzi jioni ndio anazungukia Bar kuomba Pombe...
Masasi na chalamila wote wamefilisika(wote ni marehemu)
Matunda pori ni MITOO na MISASATI ama sio... Wewe umesoma na mdogo wangu kwani Nyamizi na Wende nawakumbuka sana...
nami nilicheza sana basketiboli hapo....mudi msomali (kazeeka sasa hivi) yupo sweden... bradha Dick Urasa ni marhum (RIP)...chesi...majuto na Muna lipangileMimi nilikuwa naishi gangilonga,ulikuwa unakaa Quarters gani, za railways?mi pia nimesoma highlands na nimecheza basketball na Hemedi,Dosi,yohana,wanini,jimmy,said na mwalimu kibasa na Dr kibasa
Yeah nimemkumbuka Mzee Tweve... Duuh
Mnamkumbuka Ras Makosa??? Alikuwa Coaster kadhaa Hotel na Hospital pale Sokoni sasa hivi amekuwa kama kichaa...Kafilisika sana,hana hata senti,kutwa yupo kwenye Bar za Ulanzi jioni ndio anazungukia Bar kuomba Pombe...
nilikuwa natembea kwa miguu toka mtwivila
nami nilicheza sana basketiboli hapo....mudi msomali (kazeeka sasa hivi) yupo sweden... bradha Dick Urasa ni marhum (RIP)...chesi...majuto na Muna lipangile
Musa Mgata na dada yake alikuwa bongebonge hivi wakati huo. Yohana, Amani na dada yao Ivonne nasikia wako Usa......siku nyingi zimepita nakumbuka sana jiwe la gangilonga....migagi pale shuleni gaprisco.........zambarau kwa kina makia siyovelwa.....machungwa kwa kina david mung'ong'o......duuuuhhhhhh
"Natamani siku zirudi nyuma.........." - Lady JD
Tusker acha kujificha umemsahau mercy sanga au nikutajie Fatuma na mafolosadi ya Yule Mzee Wa Crdb karibu na kwa katibu mkuu Wa ccm mkoa
Mh, Makosa kafikia hapo.
Kweli Dunia mzunguko.
Nimesoma Gangilonga miaka hiyoo
Hawa marehemu walikuwa jirani zangu Esteriche na Lois Tweve
kaka Dick Urasa, pia Peter Macolgate yule muuza mitumba.
Du Mkuu Na mimi ni Mdau, Huyo hapo ni Classmate wangu. Alifariki lini? Mara ya Mwisho nilimpick mahali akiwa na mama yake nikamdrop Agakhan Hospital Sijamuona tena.Peter macolgate yupo Dar anapatikatikana maeneo ya sukari hse. Na furushi la mitumba mida ya asubuhi namuona Mara nyingi pale
Namkumbuka Martha mawele (RIP)
Du Mkuu Na mimi ni Mdau, Huyo hapo ni Classmate wangu. Alifariki lini? Mara ya Mwisho nilimpick mahali akiwa na mama yake nikamdrop Agakhan Hospital Sijamuona tena.
mmmmmmm good old days!
sad to hear so many RIPs ila nimefurahi saaana kusikia habari zao walikuwa majirani zangu hao, kweli tumetoka mbaaali
Du Mkuu Na mimi ni Mdau, Huyo hapo ni Classmate wangu. Alifariki lini? Mara ya Mwisho nilimpick mahali akiwa na mama yake nikamdrop Agakhan Hospital Sijamuona tena.