SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Mkuu naona wadau tupo, nimesoma na Majuto Lipangile, Erick Myonga, Albert Mgeni, Martha Mawere, Makia Siyovelwa, Hassan Ng'anzo, Asia Kaseko, Kaseko Said, Halfani na Kuruthum Kayugwa,Benson Benito Chang'a,Bupe Masasi .
Mtu mwingine ambaye nimesoma naye Gangilonga ni Mchungaji Anthony Lusekelo- Aka Mzee wa Upako, Enzi zake alikuwa smart sana akipenda kuvaa safari boot.pia nimesoma gangilonga.asia kaseko namfahamu sana ni jirani yangu huko ir.kaka zake na dada zake wote nawafahamu including criss kaseko.kuruthumu alikuwa known sana,i real remember iringa jamani
Lete hizo picha,ila siku hizi kumepauka sana.Enzi sisi tunasoma kulikuwa hakuna kioo kilicho vunjika na ukivunja unasimamishwaKumbukumbu mwanana sana Laptop ilicorrupt ikipona namwaga Picha za shule yetu tukuka ya Gangilonga...
Jamani Mwalimu Hellen yu~wapi???
Ahsante mkuu nitafika nimpe heshima yakeAnakaa tabata dampo.Ukitokea kigogo unakatisha dampo kuelekea tabata.
Unapotokea kigogo unapandisha kimlima ukifika juu(ni parefu kidogo) upande wa kushoto utaona bendera
ya ccm na magari mengi yame park nje,Hiyo nyumba yenye bendera ndo yake.
Duh kumbe juzi kati tu hapa............hata migagi hujaila:tongue: hata brekidans hujacheza:msela:nimesoma Gangilonga toka 1998 mpaka 2003.. Yeyote aliyekuwa katika kipindi hicho na mimi tutafutane.
Na hajaimba, jua lile literemke mamaa.Na hajala mikate ya john bakery(Mkate na soda)Duh kumbe juzi kati tu hapa............hata migagi hujaila:tongue: hata brekidans hujacheza:msela:
Hahaha kweli John baker yupo wapi siku hizi........namkumbuka kwa utaalamu wake wa gitaa alikuwa anatuburudisha wateja wakati tunasubiri mikate iwe tayariNa hajaimba, jua lile literemke mamaa.Na hajala mikate ya john bakery(Mkate na soda)
Baada ya hapo unaenda Paradise sinema kuanagali picha za kihindi au za bruce lee.
Zipi wilolesi au gangi?[/QUOTE][ZipiQUOTE=MissyNana;3103233]Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.
Zipi wilolesi au gangi?[/QUOTE][ZipiQUOTE=MissyNana;3103233]Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.
Mimi nilikuwa nakaa jirani na ilipo kwa sasa Mama Siyovelwa Pub,Jirani na nyumba ya zamani ya Marwaha RIP,Kabla ya kukaa hapo tulikaa kwenye ile iliyokuwa Iringa Hotel kwa miezi 10 1984-1985... Meneja wake aliitwa Masanja alikuwa na kesi ya Ubadhirifu na Mkewe alikuwa na kesi ya Mauaji ya Mtoto wa
Dada aliyezaa na Masanja hii ilikuwa 1986...sijui Fate yao kwa wale waliokuwa wanakaa Kota za Railways Gangilonga watakuwa wanawajua... Familia ya Masanja... Masanja alikuwa mtu ambaye enzi hizi waweza kusema alikuwa MLA BATA... Nilisikitika sana kwa yaliyoitokea Familia hiyo...