Wana Gangilonga mpo?

Wana Gangilonga mpo?

Abdul masoli, daudi mwano, kina dorah ulaya walikuwa wanakaa opposite na lutheran centre hostel! Kina raiya wale wasomali pale! Mnakumbuka marehemu dr. Kalinga na ile mbwembwe ya karne? Alinawa soda akanywa bia kwenye party ya kuaga umasikini. Lol!
Duuuh kumbe tajiri Kalinga hatunaye?
Jamaa alitamba sana iringa,lakini utajiri haukudumu.Bless him.
 
dah, enzi ya mzee kabongo, samwel sitta, gen. Lupogo! Nilipiga buku pale na kina steven kibasa, emanuel luvinga, imani mzungu, mabrouk kina huwel, samel sitta jr, damian masasi enzi za teacher Hassan ukipelekwa uwanja wa damu umekwisha. Rip mwl. Dule, mama mwakajila aunt yangu jamani, kina shambe, abdul masoli, du long time.

Emanuel luvinga yupo Mwanza Damian Masasi yupo Makambako Abdul Masoli au Abdul Sabuni yupo Dar mitaa ya samora anaosha magari na Steve Kibasa ni marehemu alifariki kwenye tukio la ujambazi Arusha bwana mdogo alitokea kuwa jambazi hatari ila alikuwa na kipaji hatari
 
Wale waliosoma na wakina james kambofi,Yobu Mahenge Seif Mduda pamoja na Adam Mbyalu wapo wapi Godwin Kisinini na Castol Patrick?
 
Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana (mwalimu wa upe)

acha umbea ww sinatuhusu nini ss
 
Hahaha kweli John baker yupo wapi siku hizi........namkumbuka kwa utaalamu wake wa gitaa alikuwa anatuburudisha wateja wakati tunasubiri mikate iwe tayari
Mtanzania jonh mikate alikiwa mwalimu. gangilonga. Kipindi cha jonh komba
 
Kwa wale ambao bado wapo Iringa zile bembea pale redcross na viwanja vya tenisi pale sabasaba bado vipo?
 
Thread hii imenikumbusha "Kaning'ombe" shule ya Msingi, nilimaliza 1979 na baadaye nikasoma Tosamaganga then UDSM, ni vizuri tukizikumbuka shule zetu. Nategemea sehemu ya likizo yangu niende kaning'ombe, Ihemi pale...tanangozi duuuu!
 
Duuuh kumbe tajiri Kalinga hatunaye?
Jamaa alitamba sana iringa,lakini utajiri haukudumu.Bless him.

Ashatangulia mbele za haki na kina SHAMBE, S.T. Abri, John Bakery, wanaotamba na kutuchukulia dada zetu sa hv ni kina Huwel wenye ASAS!
 
Wale waliosoma na wakina james kambofi,Yobu Mahenge Seif Mduda pamoja na Adam Mbyalu wapo wapi Godwin Kisinini na Castol Patrick?

Hao wote nimesoma nao pale Gangi, kambofi yupo wapi? Enzi za venance mwangungulu ndio kaka mkuu, jamaa alikuwa amekomaa ila alikuwa bonge la kiongozi. Nimesoma na kina abdul sabuni, imma na charles luvinga, david mwakalalile. Nilikuwa A, wa B siwakumbuki.
 
Emanuel luvinga yupo Mwanza Damian Masasi yupo Makambako Abdul Masoli au Abdul Sabuni yupo Dar mitaa ya samora anaosha magari na Steve Kibasa ni marehemu alifariki kwenye tukio la ujambazi Arusha bwana mdogo alitokea kuwa jambazi hatari ila alikuwa na kipaji hatari

Asante mkuu, hao wote walikuwa classmate zangu, natamani kumuona abdul, dingi yake alikuwa mkurugenzi wa IMUCU, dah amefikia kuosha magari, dah! Imma nafahamu yupo mwanza mwanasheria mwenzangu, ila ya steven kibasa imeniacha hoi, dogo alikuwa mkali class sijui akawaje jambazi, we kama ulisoma nao inamaana tulimaliza wote 93 mkuu.
 
Ashatangulia mbele za haki na kina SHAMBE, S.T. Abri, John Bakery, wanaotamba na kutuchukulia dada zetu sa hv ni kina Huwel wenye ASAS!

mkuu,wanaotuchukulia dada ze2 ni WATOTO zao,sio wazee wenyewe...wa2 wanaweza kuelewa vngne.,akina khalid huwel, mansoor huwel, salim asas,jafer asas, ndo wanaofanya ivyo v2!
Then kuna m2 kamtaja ras makosa,ni kweli jamaa kapgka mpaka cku izi anapga mistari ya bongo flavor!jana nlikuwa nae pale bar inaitwa savana lounge,CRDB ya zamani kwa nyuma!
 
Tusker bariiiiidi ulituahidi picha.Mbona kimya au upo busy maana huu ni msimu wa ulanzi.
Ulasi Bariiiidi.
 
Asante mkuu, hao wote walikuwa classmate zangu, natamani kumuona abdul, dingi yake alikuwa mkurugenzi wa IMUCU, dah amefikia kuosha magari, dah! Imma nafahamu yupo mwanza mwanasheria mwenzangu, ila ya steven kibasa imeniacha hoi, dogo alikuwa mkali class sijui akawaje jambazi, we kama ulisoma nao inamaana tulimaliza wote 93 mkuu.
Ngugu yangu huo ni mgawanyo wa kazi Wote tukiwa wanasheria nani atawaoshea magari yenu????
 
Back
Top Bottom