tz1
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 2,121
- 536
- Thread starter
- #141
Duuuh kumbe tajiri Kalinga hatunaye?Abdul masoli, daudi mwano, kina dorah ulaya walikuwa wanakaa opposite na lutheran centre hostel! Kina raiya wale wasomali pale! Mnakumbuka marehemu dr. Kalinga na ile mbwembwe ya karne? Alinawa soda akanywa bia kwenye party ya kuaga umasikini. Lol!
Jamaa alitamba sana iringa,lakini utajiri haukudumu.Bless him.