Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Dunia huzunguka jua kwa siku 365 na robo(365.25) kwa mwaka. je hiyo robo siku inapatikanaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhahha daaa kweli aiseee kwanini lakini unawasiwasi na robo mkuuWazee wa Maths wanaweza saidia hili. Sisi wengine tulikuwa tunameza tu.
Dunia huzunguka jua kwa siku 365 na robo(365.25) kwa mwaka. je hiyo robo siku inapatikanaje?
hahhahha daaa kweli aiseee kwanini lakini unawasiwasi na robo mkuu
nadhani robo ni
24hrs/4 ambayo inakuwa saa 6
ukibadili hizo siku kwenda kwenye saa itakuwa ni saa 8766