Elections 2010 wana igunga, kuweni makini jumapili

Elections 2010 wana igunga, kuweni makini jumapili

mwana wa africa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
548
Reaction score
128
kama wana igunga hamjapata mishahara kuweni makinii mana mishahara inaweza kuachiwa jumapili ili watumie muda wao mwingi kwenye foleni za mabenki ili wasiweze kupiga kura. wasiawsi huu ni kwa sababu sehemu nyingi mishahara bado haijatoka kwa wafanyakazi wa serikali.
 
Serikali imekopa hela za mishahara kwenda kufanyia kampeni igunga kwa hiyo watumishi msiwe na wasiwasi kwani haitakuwa na muujiza wa kupata hela nyingine hiyo jumapili. Serikali ya JK imefulia
 
Back
Top Bottom