Wana-Intelligence naomba mnisaidie ili niwe Mwana-Intelligence niliyekamilika

naona watu wanafunguka vitu ovyo ovyo. sizani kama kweli mleta mada anatak kujifunza. vitu hivi utajifunza vip mtandao? siwez to siri kirais hivi.... sanukeni mnafuatiliwa
 
Tunafuatiliwa na nani?
 
*usipende kuwa mwongeaji sana mbele za watu, kuwa msikilizaji zaidi

*Usielezee mambo yanayokuhusu kwa mtu ambaye si lazima ajue

*jitahidi kuwajua watu wanaokuzunguka mahali unapoishi ni watu wa namna gani/wanajihusisha na nin
*Usikae eneo moja zaidi ya dakika 10 ikiwa hakuna ulazima/umuhimu wa kuwa hapo
*Maeneo unayokuwa umekaa (ktk mikusanyiko, bar, club, hotel etc) hakikisha umeshajua pakutokea kwa haraka bila kudhurika endapo tukio lolote litatokea

*ukitumia chombo cha moto, kabla ya kushuka hakikisha umepaki kwa mtindo wa mwondoko (kuelekea mbele unapotokea) hii itakusaidia kuondoka kwa haraka inapotokea dharula hasa inayotishia usalama wako
NOTE: isipokuwa maeneo ambayo hawaruhusu kupaki ktk mtindo wa mwondoko mfano Bank
*PATA MAFUNZO YA SELF-DEFENSE
Mkuuu umeni gusa sana kwenye chombo cha moto mara nyingi nikitembea na mzee wangu kweny gar huwa na paki ki hasara gari siweki upande wa kutokea mzee huwa ana niambia usipende kupako gar kiraia ita ku cost dharura ikitokea penda kuweka gar njia ya kutokwa ikitokea la kutokea huna haja kuanza kusumbuka kugeuza unakuwa tayar kusepa
 
Baada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbalimbali na nikagundua umuhimu wa mtu kuishi kiintelligence na kilichonifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha ya kintelligence.

Hata ukiachana na hivyo siku hizi uhalifu umeongezeka sana na kwa kupitia hilo inamaana inafaa kila mtu awe mwanaintelligence.

ni uzi wa mwanaintelligence mmoja baada ya kusema kwamba zaidi 50% ya watu duniani wanaroho mbaya.

Haya ni machache ambayo nimeanza nayo.

1. Ninapotoka nyumbani sina njia maaulum ya kupita wala sina muda maalumu wa kurudi nyumbani.

2. Ninapokuwa njiani sitembei mwendo wa taratibu naogopa watu wanaweza kuniona ni mdhaifu.

3. Kama nilikuwa nakula chakula ikitokea dharura yoyote na nikirudi tena hicho chakula sili.

4. Sitaki kufuatilia mambo ambayo hayanihusu.

Pamoja na yote hayo lakini naona bado sijakamilika na ninaomba mniupdate.
When you get assigned kwa operations za nje ya nchi ambazo ni risky wanachukua agents waliokubuhu katika tradecraft, na most of the time kunakuwa na command center kwa kila nchi adui ama rafiki ambapo handlers wako ndio wanakwambia nini cha kufanya. How to set a meeting, non verbal communication and the like. Pia kumbuka kuna kufa muda wowote aidha kuuwawa na adui ama wenzako endapo itaonekana unahatarisha operations.

Somo refu sana mdogo wangu.......
 
Tupe sasa hilo somo
 
Hakikisha ikienda chooni hujambi kwa sauti mtu akasikia
 
Tunafuatiliwa na nani?
wew zipo njia nying za wapelelez kutafuta data..... zingine kam hiz kuulza maswal ya ajab ajab.....au kuona ni jins gan watu wanajib maswal kam haya
 
When you get assigned kwa operations za nje ya nchi ambazo ni risky wanachukua agents waliokubuhu katika tradecraft, na most of the time kunakuwa na command center kwa kila nchi adui ama rafiki ambapo handlers wako ndio wanakwambia nini cha kufanya. How to set a meeting, non verbal communication and the like. Pia kumbuka kuna kufa muda wowote aidha kuuwawa na adui ama wenzako endapo itaonekana unahatarisha operations.

Somo refu sana mdogo wangu.......
dada umetisha!
nakuja inbox uniambie unawezaje kujua haya wakati...?
 
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
 
asante sana dada nimekuelewa!
naona umependeza sana kwa avatar yako! teh teh
 
ATTACH]
 
Attachments

  • IMG-20170601-WA0039.jpg
    IMG-20170601-WA0039.jpg
    41.7 KB · Views: 14
Acheni kuigiza maisha..mnajitia stress.."kama wanakutafuta kukudhuru watakupata tu..'
 
Back
Top Bottom