Wana - Iramba tunasubiri kwa hamu kutimuliwa kwa Jesca Kishoa

Bora yeye kibaraka wa ccm walioko madarakani kulilo wewe kibaraka wa cdm usiye na pakutua.

Cdm= ccm

Ujuha ndiyo unakusumbua now
 
We nawe denooJ haueleweki.
Kwanini sieleweki?

Hao kina Kishoa wanaadhibiwa kwa makosa yao ya usaliti wa kwenda bungeni, huyu mleta mada analeta habari za kuifanya Iramba kama kikoba, kwanini wakubali kuburuzwa all those days?

Kila kosa huhukumiwa separately, huwezi changanya makosa tofauti halafu ukayatolea hukumu moja, hii haipo.

Think.
 
ndoa ya kishoa imekuwaje
 
Wafukuzwe mara ngapi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…