Wana - Iramba tunasubiri kwa hamu kutimuliwa kwa Jesca Kishoa

Wana - Iramba tunasubiri kwa hamu kutimuliwa kwa Jesca Kishoa

Bora yeye kibaraka wa ccm walioko madarakani kulilo wewe kibaraka wa cdm usiye na pakutua.

Cdm= ccm

Ujuha ndiyo unakusumbua now
 
We nawe denooJ haueleweki.
Kwanini sieleweki?

Hao kina Kishoa wanaadhibiwa kwa makosa yao ya usaliti wa kwenda bungeni, huyu mleta mada analeta habari za kuifanya Iramba kama kikoba, kwanini wakubali kuburuzwa all those days?

Kila kosa huhukumiwa separately, huwezi changanya makosa tofauti halafu ukayatolea hukumu moja, hii haipo.

Think.
 
Miongoni mwa Wadada na Wanawake ambao wapenda Demokrasia Tunasubiri Kwa hamu watimiliwe CHADEMA ni huyu Jesca Kishoa.

Ambaye amefanya CHADEMA Iramba kama KIKOBA !Kwa Unafiki ambao amekuwa akitufanyia na kutufanyia sisi punda wake.

Hakika kama Kuna kitu Cha Maana ambacho Baraza Kuu litafanya na kufukiza chawa hawa akiwamo Jesca Kishoa.

Mungu husimama na wenye Haki.
ndoa ya kishoa imekuwaje
 
Wafukuzwe mara ngapi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom