Wana jamiiforum kwa nini mnapenda kunizeesha Demiss miye!

Kama unataka kupungiza miaka fanya kama wakogwe wenzako, fungua id mpya. Hivi unaamini kabisa kina Miss Strong, mamdenyi, heaven sent, masai dada, tumboo, etc hawapo humu? Wanatumia hii strategy, sasa hivi kwa id zao mpya, wamaendana na spidi. Chuchu zao zimekuwa konzi tena.
 
Hahahahahah jaman hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…