Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaaaaaa umeona eeeh
Jamani mm bado kabinti sitaki kuzeeshwa hata nimevumilia nimechoka
Ninapenda ndimu kwenye kachumbari napate !!?[emoji23][emoji23][emoji23]Ndimu
[emoji23][emoji23][emoji23] Umezunguuuuka! Ila point kuu ilikua kwenye huo mstari uliouita nyongeza, nimekuelewa @demis ila subiri kwanza hizi sikukuu zipite nitahitaji [emoji120]Ila jamani wanajf kwa nini mnaninyanyasa mtoto wa mwenzenu.
Eeeh mtoto mbichi miyee hata miaka 25 sijafikisha chuchu konzi mnaniambia mm mzeee looh hebu mniachee.
Kuanzia leo sitaki kuzeeshwa mimi ndo kwanza bado binti mbn mnanilazimisha mimi kucomment kama mbibi mambo gani ya kuzeshana jaman agrrrrrr
Alafu mambo ya kunionea wivu kisaa bado binti inatoka wapii jamani yan unakutana na mtu ananizaa yupo busy kumjadili Demiss katoto kadogo khaaaa hebu niacheni jaman.
Nyongeza:
Yote tisa wanajf hamjamiss kitumbua kitamu tamu kama changu?
Updates!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyongeza ya pili:Sitaaacha kuringa kamwe na hivi nina kazi ya uhakika inanipa pesaa.
Location: Dar
Simple logic. Wengi wao wanatafuta mitaji sasa watapata wapi ya kuhonga 😁Hahaahaha wanakulana bureeee eeeh
Hahahaha hahaha jamani agggr sitaki kusutwa miyeeee[emoji23][emoji23][emoji23] Umezunguuuuka! Ila point kuu ilikua kwenye huo mstari uliouita nyongeza, nimekuelewa @demis ila subiri kwanza hizi sikukuu zipite nitahitaji [emoji120]
Avatar yangu ndiyo mimiAnza wewe na mm nafata
Note the point [emoji115]Hahahaha hahaha jamani agggr sitaki kusutwa miyeeee