Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wananisingizia tuMbona niliambiwa una 15?
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman uchocheziii mm sitak
Oky! Uko poa lakini? miss you!!Sijakataa ukifika nitaufata
Imekaa poa sana hii.Niko poah kabisaaa hata mm niliwamiss
ni mapema mno kusema ni wapi....ila hope patakuwa mahali pazuri mungu ajaliapo. Karibu mamy!!Ewaaah x mas wap?
Kaambatana na mzee nae mzee.Kwa hiyo demiss mwizi au?
Kuhusu hilo shaka ondoa...labda ubahatike kuwa na mialiko lukuki mamy.Waooh asanteee naombea hiyo karibu iwe ya kweli
Ila jamani wanajf kwa nini mnaninyanyasa mtoto wa mwenzenu.
Eeeh mtoto mbichi miyee hata miaka 25 sijafikisha chuchu konzi mnaniambia mm mzeee looh hebu mniachee.
Kuanzia leo sitaki kuzeeshwa mimi ndo kwanza bado binti mbn mnanilazimisha mimi kucomment kama mbibi mambo gani ya kuzeshana jaman agrrrrrr
Alafu mambo ya kunionea wivu kisaa bado binti inatoka wapii jamani yan unakutana na mtu ananizaa yupo busy kumjadili Demiss katoto kadogo khaaaa hebu niacheni jaman.
Nyongeza:
Yote tisa wanajf hamjamiss kitumbua kitamu tamu kama changu?
Updates!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyongeza ya pili:Sitaaacha kuringa kamwe na hivi nina kazi ya uhakika inanipa pesaa.
Location: Dar
.
Umehama dodoma!Ila jamani wanajf kwa nini mnaninyanyasa mtoto wa mwenzenu.