Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

Pole sana mdogo wangu, ila hapo CBE kuna shida sehemu, certificate GPA ya 3.7 ni first class?
 
Pole sana mdogo wangu, ila hapo CBE kuna shida sehemu, certificate GPA ya 3.7 ni first class?
Hakuna shida yoyote hapo, kwa level ya certificate ambayo ni nta level 4 wanatumia gpa ya 4 badala ya 5, diploma mwaka wa kwanza pia inatumika gpa ya 4 then mwaka wa pili ambao ni nta level 6 ndio wanatumia gpa ya 5. Kwa hiyo hiyo 3.7 kwa level ya certificate ni sahihi ila kwa diploma na degree hiyo ni upper second.
 
Nashukuru mkuu Kwa ufafanuzi
 
Yeah....umeelezea vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…