Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumla

Hii point.
 
Watu walichukizwa Sana na kauli zake kwa Rashid Matumla.
Inaonyesha wazi Watanzania bado wanamkumbuka vizuri Matumla, kadhia hii ingemuathiri zaidi Mwakinyo na hivyo wakubwa wake wamemshauri kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…