Wana jamvi - eti ni uchungu gani unauma zaid kati ya mwanamke kujifungua / mwanamme kuvutwa korodani

Si rahisi kujua...ingetokea mmojawao anapande mbili...korodani na uke...tungemjaribu huyo na tungepata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…