Mkuu hiyo ni bank, zamani ilikuwa inaitwa NATIONAL BUREAU DE' CHANGE ikijihusisha zaidi na ubadilishaji wa fedha za kigeni. Baadaye ndo wakaja wakabadilisha na kuwa bank na kujiita TWIGA BANCORP LTD. Hivyo siyo BANCROP! Ina matawi machache sana hapa nchini DAR (2 AU 3 HIVI), MWANZA (1), ARS (1), MBEYA (1). Ni benki yenye huduma nzuri maana haina wateja wengi. Kwenye ATM ndo iko kila mahali palipo na ATM za umoja switch. Nafikri kwa sehemu kubwa inamilkiwa na serikali!! Huwa nashangaa sijui kwa nini wafanyakazi wengi wa hii benki ni NYAKYUSA na HAYA??!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.