Wana Jangwani kimataifa hapa ndiyo mwisho kubalini

Wana Jangwani kimataifa hapa ndiyo mwisho kubalini

Wewe ni Simba, halafu unainyooshea kidole 👉 Yanga!! Angalia mwenyewe vidole vingapi vimekugeukia!!

Imagine unatoa sare na Asec Mimosa kwenye uwanja wako wa nyumbani! Je, utaweza kweli kutoboa kwa Wydad Casablanca na Jwaneng Galaxy!! Kweli?
hao waydad tuliwalaza na viatu hapa bongo alafu kule kwao tukaenda kuweka msikiti uwanjani na round hii tutaanza kulipa kisasi kwa hao Jwaneng Galaxy
 
Ukubwa wa Club unapimwa kupitia malengo ambayo wamejiwekea kuyafikia.

Malengo ya Gongowazi waliojiwekea baada ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa.

Malengo yao ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.

Hayo ndio malengo ya Club ambayo kwa msimu mzima walikuwa wana fight ili kufika hatua hiyo.

Kwa maana hiyo, kwao hiyo ndio hatua kubwa sana ambayo wameona inaendana na thamani ya uwekezaji walioufanya.

Na mashabiki nao ni kama wameridhika na malengo ya Club yao kwasababu ni kitu ambacho hawajaki experience kwa muda mrefu.
Mbona kama nyie ndiyo mnaoumia kuliko sisi wenye Yanga yetu
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua washabiki wao ni hamnazo ndiyo maana wakawaandalia supu ya vibudu na kusambaza mabango ya goli tano nchi nzima na kweli washabiki wao wameridhika na hilo wala hawana habari kuwa wanatakiwa wapambane ili waingie robo fainali. Yupo kiongozi wao alisema kuwa wao wameshatimiza lengo la kuingia makundi hayo mengine itakuwa bonus tu kwao. Hao ndiyo wananchi.
JamiiForums592774928.jpg
 
Mpira ni burudani na Furaha
Usiwapangie watu jinsi ya kufurahia na kusherekea

Hata wewe unaruhusiwa kufurahia mpira butua butua au papatu papatu

Goli tano ni nyingi sana kama unaona ni kidogo Jaribu kuvaa suruali tano kwa pamoja

Wanaandaa Sanamu kubwa ya kuchongwa ya kukanda magoli 5 itawekwa mataa ya Moroco,Mwenge,Ubungo na Magomeni
Wewe sasa ndiyo mwananchi. Hongera kwa akili kubwa hii maulana akujazi.
FB_IMG_1697705818872.jpg
 
Mechi na Wydad kingilio kitakuwa MoXtra au kipande cha Sabuni ya MO baada ya hapo unaenda Morocco. Ukirudi Azam ana kusubiria.
Mechi na Al Ahly mumeambiwa msivae chupi kabisa sijui mnaenda kufanyana nini
 
Wewe ni Simba, halafu unainyooshea kidole [emoji117] Yanga!! Angalia mwenyewe vidole vingapi vimekugeukia!!

Imagine unatoa sare na Asec Mimosa kwenye uwanja wako wa nyumbani! Je, utaweza kweli kutoboa kwa Wydad Casablanca na Jwaneng Galaxy!! Kweli?
Tutavuka daraja tutakapo lifikia
FB_IMG_1700042241994.jpg
 
Yanga haijawahi kuifunga Simba 5-0

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa bbc katutunzia kumbukumbu usidhan h2h tunawazid simba kibahati mbaya Yanga inapiga mpira mwingi, kila kitu tunawazid hadi makombe, sema hapa kitu ambacho simba anamzidi yanga tuone…Usicheze na kina pakome mkuu
 
Attachments

  • 795D3442-0C85-492C-AE85-AFD02D600875.jpeg
    795D3442-0C85-492C-AE85-AFD02D600875.jpeg
    242.2 KB · Views: 1
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gar litawaka Dec 2,
 
sisi wanayanga ni wanamichezo hivyo tukifingwa au kufunga hatuyumbi
 
Hivyo vingine sivijui, maana wanasema aisifiae mvua imemnyeshea, inawezekana hata ww Manula katoka langoni.

NB :Jifunze kutoa hoja bila kumprovoke mtu huu mpira,ila unacho kitaka utakipata.
Soma tena post yako #32 wewe mbwiga
 
Back
Top Bottom