Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
hao waydad tuliwalaza na viatu hapa bongo alafu kule kwao tukaenda kuweka msikiti uwanjani na round hii tutaanza kulipa kisasi kwa hao Jwaneng GalaxyWewe ni Simba, halafu unainyooshea kidole 👉 Yanga!! Angalia mwenyewe vidole vingapi vimekugeukia!!
Imagine unatoa sare na Asec Mimosa kwenye uwanja wako wa nyumbani! Je, utaweza kweli kutoboa kwa Wydad Casablanca na Jwaneng Galaxy!! Kweli?
Mbona kama nyie ndiyo mnaoumia kuliko sisi wenye Yanga yetuUkubwa wa Club unapimwa kupitia malengo ambayo wamejiwekea kuyafikia.
Malengo ya Gongowazi waliojiwekea baada ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa.
Malengo yao ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.
Hayo ndio malengo ya Club ambayo kwa msimu mzima walikuwa wana fight ili kufika hatua hiyo.
Kwa maana hiyo, kwao hiyo ndio hatua kubwa sana ambayo wameona inaendana na thamani ya uwekezaji walioufanya.
Na mashabiki nao ni kama wameridhika na malengo ya Club yao kwasababu ni kitu ambacho hawajaki experience kwa muda mrefu.
Wanajua washabiki wao ni hamnazo ndiyo maana wakawaandalia supu ya vibudu na kusambaza mabango ya goli tano nchi nzima na kweli washabiki wao wameridhika na hilo wala hawana habari kuwa wanatakiwa wapambane ili waingie robo fainali. Yupo kiongozi wao alisema kuwa wao wameshatimiza lengo la kuingia makundi hayo mengine itakuwa bonus tu kwao. Hao ndiyo wananchi.Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.
Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.
Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sasa ndiyo mwananchi. Hongera kwa akili kubwa hii maulana akujazi.Mpira ni burudani na Furaha
Usiwapangie watu jinsi ya kufurahia na kusherekea
Hata wewe unaruhusiwa kufurahia mpira butua butua au papatu papatu
Goli tano ni nyingi sana kama unaona ni kidogo Jaribu kuvaa suruali tano kwa pamoja
Wanaandaa Sanamu kubwa ya kuchongwa ya kukanda magoli 5 itawekwa mataa ya Moroco,Mwenge,Ubungo na Magomeni
Mechi na Al Ahly mumeambiwa msivae chupi kabisa sijui mnaenda kufanyana niniMechi na Wydad kingilio kitakuwa MoXtra au kipande cha Sabuni ya MO baada ya hapo unaenda Morocco. Ukirudi Azam ana kusubiria.
Yanga haijawahi kuifunga Simba 5-0Kwani we tano bila tulizokupiga ulirudisha lini
Wa
Tutavuka daraja tutakapo lifikiaWewe ni Simba, halafu unainyooshea kidole [emoji117] Yanga!! Angalia mwenyewe vidole vingapi vimekugeukia!!
Imagine unatoa sare na Asec Mimosa kwenye uwanja wako wa nyumbani! Je, utaweza kweli kutoboa kwa Wydad Casablanca na Jwaneng Galaxy!! Kweli?
Mliwah kupigwa nne bila half time hamkurudi uwanjani hilo pigo haliwez kuja kujirudia unagongwa mpaka unakimbia zingefika ishirini hiyo sikuTulipowafunga 6-0, 5-0 na 4-1 hatujawahi kufanya hayo mambo,ingawa bado hamjazirudisha maana hata hiyo 5 ni 5-1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa bbc katutunzia kumbukumbu usidhan h2h tunawazid simba kibahati mbaya Yanga inapiga mpira mwingi, kila kitu tunawazid hadi makombe, sema hapa kitu ambacho simba anamzidi yanga tuone…Usicheze na kina pakome mkuu
Mnasusa kuingia uwanjani, hizo tabia za kike za kususasusa.Mechi na Al Ahly mumeambiwa msivae chupi kabisa sijui mnaenda kufanyana nini
Na nyie kuambiwa msivae chupi na mnachekelea huo si ni ushoga kabisa?Mnasusa kuingia uwanjani, hizo tabia za kike za kususasusa.
Hivyo vingine sivijui, maana wanasema aisifiae mvua imemnyeshea, inawezekana hata ww Manula katoka langoni.Na nyie kuambiwa msivae chupi na mnachekelea huo si ni ushoga kabisa?
Gar litawaka Dec 2,Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.
Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.
Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wanayanga ni wanamichezo hivyo tukifingwa au kufunga hatuyumbiViongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.
Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.
Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tena post yako #32 wewe mbwigaHivyo vingine sivijui, maana wanasema aisifiae mvua imemnyeshea, inawezekana hata ww Manula katoka langoni.
NB :Jifunze kutoa hoja bila kumprovoke mtu huu mpira,ila unacho kitaka utakipata.
So we kima kwa hiyo Manula katoka langoni.Soma tena post yako #32 wewe mbwiga
Usinikasirikie mimi kwani siyo mimi niliyekutatua marinda. Mbwiga !!!So we kima kwa hiyo Manula katoka langoni.