Wana Jangwani kulikoni?

Habari za magazeti huwa sizipi asilimia nyingi za ukweli
 
Migazeti ya Tanzania upupu mtupu hasa ya michezo. Si wameshajua watanzania walivyowambea bora wasile wapate umbea
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu kasome hilo gazeti
 
Kimenuka huko,Jangwani ni misumari,bahasha na zengwe tu mpira hawanaga.
 
Migazeti ya Tanzania upupu mtupu hasa ya michezo. Si wameshajua watanzania walivyowambea bora wasile wapate umbea
Usisahau na vichanel uchwara vya michezo utube bila kuwasahau wachambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…