Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma habari iliyoko ndani au unajitoa ufahamu, kasome habari iliyoko ndani alafu urudi kupost upyaGazeti linajieleza.View attachment 2354406
Yani huelezi kiakili. Unadokeza na kufanya conclusion. MmmmhKisa tu hakukaa golini jumamosi, ila akiondoka wamekwisha
Sasa kama sijaisoma kiundani nifanyejeYani huelezi kiakili. Unadokeza na kufanya conclusion. Mmmmh
Usisahau na vichanel uchwara vya michezo utube bila kuwasahau wachambuziMigazeti ya Tanzania upupu mtupu hasa ya michezo. Si wameshajua watanzania walivyowambea bora wasile wapate umbea
Hao ndo wanaboooaUsisahau na vichanel uchwara vya michezo utube bila kuwasahau wachambuzi
Hili nalo hulipi asilimia nyingi?Habari za magazeti huwa sizipi asilimia nyingi za ukweli