Wana Jf ambao hawakulelewa vyema utotoni

Kizuio

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
845
Reaction score
521
Ukiwa Jf kuna vitu vingi mno na mawazo ya wengi mno, mada za kufurahisha, kuhuzunisha, mahaba, siasa na utani mwingi kwa wana Jf wao kwa wao na kadhalika
Ila kuna member ukiwafuatililia katika baadhi ya comment zao humu ndani katika majukwaa tofauti utagundua ni kama walidekezwa sana utotoni au hawakulelewa vyema huko walikokulia

Moto Chini

Elungata

Kiranga

Jinga Lao

Stroke

Rutashobolwa

Gudume

Aisee mbadilike
 
Gudume ni wazi alidekezwa kwa sababu ana utoto mwingi
Na kuna yule zero iq yule ni tatizo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…