Kizuio
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 845
- 521
Ukiwa Jf kuna vitu vingi mno na mawazo ya wengi mno, mada za kufurahisha, kuhuzunisha, mahaba, siasa na utani mwingi kwa wana Jf wao kwa wao na kadhalika
Ila kuna member ukiwafuatililia katika baadhi ya comment zao humu ndani katika majukwaa tofauti utagundua ni kama walidekezwa sana utotoni au hawakulelewa vyema huko walikokulia
Moto Chini
Elungata
Kiranga
Jinga Lao
Stroke
Rutashobolwa
Gudume
Aisee mbadilike