Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Kuna kitu kimoja nimekiona hapa duniani,mashindano ya mbio sio ya wenye kasi,vita si kwa wenye nguvu,wala mkate si kwa mwenye hekima,wala utajiri si kwa watu wenye uelewa,wala kibali si kwa watu wenye ujuzi;bali muda na nyakati hutokea kwa wote hao.



Namuonea huruma Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
They are strong people who loose the battle(pacquiao,tyson,john cena,u/taker),the people who are fast loose the race,u may find watu waliokuwa na akili madarasani enzi hizo ukijaribu kucheki maisha yao miaka arobaini ijayo utashangaa.
 
Duh! Madame B; Nimechelewa kuiona thread hii ila hakika nilipoifungua na nipo nilipoikumbuka maongezi yetu ya juzi...........karibu sana tena sana mpendwa!

Madame B; Jisikie unakuja home!
Smile; Hebu ungana na Best muwe njia moja!
 
Last edited by a moderator:
mamito gfsonwin umeamkaje!!!
Yani ndo hivo shost naelekea Arusha, Kwa mwaliko maalum wa PakaJimmy.
Nilikwambia tuongozane lakini ukasema una majukumu.

mwali nisingekataa ila si wajua kids wananisubiria?
usijali nakuamini ila waambie kabisa tutatuma kadi ya mwaliko wa mwana A wing kwaajili ya white party
 
Usijali Mzee wa Rula , kila kitu kitaenda sawa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…