Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Madame B unajua nimeshangazwa na mbwembwe zako zote lakini hujajua kila boma lina mkuu wake!!!

Mimi ndiyo mkuu wa boma hili, kwa kuwa ulikuwa hujui nakusamehe.

Karibu sana huku kwetu, sweetlady, marejesho nawaagiza kuwa karibu na mgeni mpaka mwisho ili machalii kama Arushaone wasimdhuru kabisa.

Kazi hii nimepewa na mkuu fulani nami naitekeleza kwa asilimia zote.

Mungi ukikukuruka tu kwa mgeni, cello ipo wazi inahitaji watu. PakaJimmy protocol inakataa kumpa majukumu ila Preta atakuwa Informer wangu ili mambo yasiende kombo.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndio wasiwasi wangu! Mbaya zaidi ukute Chimbuvu yuko Lubumbashi au Kinshasa ndio tukio la kunasana litokee!! Patachimbika mpenzi EM BEE.

Kwa maelezo ya nyuma ya pazia, tayari umeshadhibitiwa kaka. Hakuna cha kugandana wala kunatana tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:


Dahhh...!!!!
Mi kuchoka jamanin Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…