Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nicas Mtei ushindwe! nani kakuambia my Lily Flower amepigwa pasi?
Achana na akina Nicas Mtei mpenzi.............. hawajui we una pick up unaweza kumpa lifti
Yaani acha tu Babe alivyoshadadia utafikiri bibi mcharuko.
Kitu bapa, kitu flat. Mithili ya Sony Wega.
Filipo ndio amesema kuwa kwa Arusha ambaye hajapgwa pasi ni Kabakabana peke yake
Ile kamati ya mkodobwe iko chini ya nani? manake Nicas Mtei amezidi huyu
Ile kamati ya mkodobwe iko chini ya nani? manake Nicas Mtei amezidi huyu
Lakini clear bila chenga, sio hizo za kwenu mapicha picha chezea Sony Wega weye.
Mimi nimeuliza maswali. Nijibuni
hahahaa, si umtaje ili ujue mko wangapi? Pole kwa maumivu, ingia kwenye reserve list yangu hehehehe
Hahahaha. Flat sio mpango. Hata haijulikani mbele wapi nyuma wapi. Akienda mbele utadhani anarudi nyuma. Halafu umkute ana fito za kchaga. Ndo uwiii
Nimekuambia mke wangu Lily Flower ana pick up sasa unabisha nini?
Filipo njoo huku Nicas Mtei anakuhujumu