Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Habari zenu Waheshimiwa sana. Wadau napenda nifahamishwe hii Mechenical Engineering ikn vp, inahusika na nini hasa na vp ushindani wa ajira, inalipa? Wale wa CoET Udsm na wengineo wanaweza nijuza vyema. Mbarikiwe!