Wana JF hamjambo?

Wana JF hamjambo?

Ben T

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
245
Reaction score
263
Wana JF naomba nipokelewe kwa mikono miwili mimi ni mgeni kwenye Mtandao huu wa JF ni matarajio yangu kuwa nitapata ushirikiano wa kutosha hapa JF nawaombea wote wana JF Mungu atupe maisha marefu sana! Nawashukuru wote!
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom