wana jf haya ndo mambo ya face book!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahah jman et akaendeleze kipaji kwa shigongo!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ya kitoto kweli na wewe ukibadilika kwa kuleta hapa tutapataje hayo mabilion yako
 
Heeeeeeeeeeeyyyyyy.............sio story hii, ni kweli imetokea Mwanza, binafsi niliisikia redio Wapo jmoc iliyopita, dhani ni story yakukute ndo utajua
 
hii habari mm nilitumiwa tatizo hatujapata ukweli kutoka kwa mlengwa but haya mambo ya ku pata wachumba kwenye hii mitandao sio mazuri hata kidogo
 
Tatizo watu hawafanyi utafiti. Kuna mambo mazito duniani hapa kupitia hiyo facebook. Nakushukuru mleta habari hii, japo watu wanaona unapiga poroja kwenye moto wa kuni wakati wa baridi. Mambo haya yapo sana. Dunia inakwenda mrama, watu tukae chonjo. Binafsi sitaki ushahidi sababu najua yapo. This one also is possible.
 
O
ukey, thnx nami mimi nilitaka kukuPM kwenye post yako ya kutafuta mke ila baada ya kusoma hapa nilikata tamaa... Ngoja nirudi church tu ndo ntapata.................
 
hiyo story imezagaa sana mjini mwanza..,iwe kwl au uongo itz just 2napewa precausion za mitandao hii ya kijamii.
 
Cha msingi kwenye stori ni ONYO tu. Hii stori ilikuwepo around the street but ishapuuzwa kitambo.Kawaida hapa SAUT mtu akipotea ama kufariki uongozi unahusika kusafirisha maiti ama kutoa taarifa za upotevu kwa jeshi la polisi ili kushirikiana katika kumtafuta lakini kwenye stori hii hakuna kitu kama hicho.Uongozi ulifanya initiation ya kufanya utafiti lakini hakuna mtu mwenye fact. Pia uongozi ulitoa muda kwa waliokuwa wanamfahamu mtu huyo,kutoa taarifa ili kama ni kweli ndugu zake waambiwe,Je hata waliokuwa wanakaa nae hostel wasingeripoti suala la rafiki yao kutojulikana alipo? Suala la kutokujulikana kozi aliyokuwa anasoma its illogical na hata muda huu ukienda kwa Dean of Student (Mama Nasania) haamini suala hilo.Kama mwenye uzi hana shaka,namwomba azilete upya taarifa hizo pamoja na huyo binti aliyemwambia kwani naamini alimjua japo kwa jina moja tu.Vinginevyo wanajf tuendelee kumwombea Kaka Ulimboka.
 
leta jina lake ilikusibitisha simulizi lako..:coffee:
inavyoonekana wewe ndetichia ipo siku utataka hata jina la shetani ili uamini kama freemasons wapo.eeeeehhhhh shauri yako sikulazimishi kuamini ukitaka amini ukitaka acha.
 
Last edited by a moderator:

asante kwa mchango wako.
 
Ni juzi tu kuna mtu kanipa the same story, labda ina ukweli
 
Habari za kizushi hizo, nini kimempoteza! mwili unaharibikaje within a minute!?
 
hiyo story imezagaa sana mjini mwanza..,iwe kwl au uongo itz just 2napewa precausion za mitandao hii ya kijamii.

nakupa full manyota felinda**********%%%100 kwa 100.ni muhimu kuwa makini.
 
Last edited by a moderator:
Habari za kizushi hizo, nini kimempoteza! mwili unaharibikaje within a minute!?

endelea kuchukulia kama uzushi hivyihivyo ikibidi na we tafuta mchumba kupitia facebook sawa eehhhhhhhhhi hope umeniquote webondo au siyo????????aaaaahhh nilikuwa nimesahau.au na we umejiopalea kimwana wa facebook niniiiiiiii?????????maana so kuponda huko.sikiliza simaanishi umwache the msg is kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…