mwanankiya
Member
- Apr 5, 2012
- 11
- 0
Hahahah jman et akaendeleze kipaji kwa shigongo!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OTusipuuze stori although huyu mtunzi alipaswakutupa na ushahidi.. lakini kiukweli mabinti wengi siku hizi wanaingia kwenye uhusiano bila kumjua vizuri huyo Mchumba/mpenzi tujihadhari na watu tusiowajua ni HATARI hasa wageni toka AFRICA MAGHARIBI (hususani Nigeria) na hapa jirani Kenya, hata Wazungu toka Ulaya na Marekani pia matapeli nao (baadhi yao)
sio hadithi ni kweli yametokea sema mdada ndo hivyo amepotea angetutolea ushuhuda.
Cha msingi kwenye stori ni ONYO tu. Hii stori ilikuwepo around the street but ishapuuzwa kitambo.Kawaida hapa SAUT mtu akipotea ama kufariki uongozi unahusika kusafirisha maiti ama kutoa taarifa za upotevu kwa jeshi la polisi ili kushirikiana katika kumtafuta lakini kwenye stori hii hakuna kitu kama hicho.Uongozi ulifanya initiation ya kufanya utafiti lakini hakuna mtu mwenye fact. Pia uongozi ulitoa muda kwa waliokuwa wanamfahamu mtu huyo,kutoa taarifa ili kama ni kweli ndugu zake waambiwe,Je hata waliokuwa wanakaa nae hostel wasingeripoti suala la rafiki yao kutojulikana alipo? Suala la kutokujulikana kozi aliyokuwa anasoma its illogical na hata muda huu ukienda kwa Dean of Student (Mama Nasania) haamini suala hilo.Kama mwenye uzi hana shaka,namwomba azilete upya taarifa hizo pamoja na huyo binti aliyemwambia kwani naamini alimjua japo kwa jina moja tu.Vinginevyo wanajf tuendelee kumwombea Kaka Ulimboka.
ni vizuri kuchukulia kila kitu kama hadathi mpaka siku yatakapokukuta any way nilitaka tu kuwahababarisha .
nikupata vilivyo kinachogomba ni ushahidi
Habari za kizushi hizo, nini kimempoteza! mwili unaharibikaje within a minute!?