Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).
Nafikiri maelezo hayo madogo yanaweza kukusadia ila unaweza uliza zaidi