Wana JF hii faculty nayo ikoje!

Wana JF hii faculty nayo ikoje!

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.
 
Nakushauri ukasome telecommunication hapo Coet. Inalipa.
 
Nimechaguliwa Mechanical engineering, je inawezekana kubadilisha?

Ingia kwanza uanagalie jinsi gani unaweza kubadilisha. Mara nyingi wana review matokeo yako kuona kama yana vigezo wanavyovihitaji wewe kujiunga na course hiyo.
 
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.

Duu una elimu gani,umri gani mpaka usijue mechanical engineering inahusika na nini
 
Nimechaguliwa Mechanical engineering, je inawezekana kubadilisha?

Kubadilisha inawezekana but nilazima chuo utakachoenda na iyo faculty uwe umequalify na kuwe na available slots, so kutransfer inawezekana bro. Deadline ni tar 16 septemba, tar 3 septemba transfer ndo imeanza so wai bro kacheki kama iyo telecomunication bado inaavailable slots. Tembelea www.tcu.go.tz.
 
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.

inategemea unataka sh ngapi, inaweza ikawa inalipa.
 
Duu una elimu gani,umri gani mpaka usijue mechanical engineering inahusika na nini
Elimu yangu ni form six, 27 naishi chaka fulani huku Katavi. Najua "fundi mekanics" naona neno hilo kuna Mechanics,so kinachonipa shida ni kwamba naenda kusomea ufundi nami nipate jina kama hilo hapo juu. Elimu na Umri haviwezi kukufanya ujue v2 vingi. Nijuze ndugu yangu, kiroho safi kama una information za kutosha.
 
Kubadilisha inawezekana but nilazima chuo utakachoenda na iyo faculty uwe umequalify na kuwe na available slots, so kutransfer inawezekana bro. Deadline ni tar 16 septemba, tar 3 septemba transfer ndo imeanza so wai bro kacheki kama iyo telecomunication bado inaavailable slots. Tembelea www.tcu.go.tz.

Asante mkuu!
 
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.

Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).

Nafikiri maelezo hayo madogo yanaweza kukusadia ila unaweza uliza zaidi
 
wakati unapply ulikuwa unaielewa vipi?

Niliapply kwa kuuliza mtu kwamba faculty gani za science zaweza nifaa. Katika list niliyopewa na hiyo nayo ilikuwemo. Sikudadisi zaidi na niliipa nafasi ya tatu kwa sababu sikuijua vzuri. Sasa nimechaguliwa hiyo ndo maana leo naiulizia sana ili niwe well informed, wadau mpo na kutoa msaada ni jadi yenu...so help me.
 
inategemea unataka sh ngapi, inaweza ikawa inalipa.

hahahaha! Acha utani broh! Hebu nipeki2 ambacho kinaweza nipa mwanga kidogo. Napozungumzia kulipa namaanisha ajira yake japo tsh pia ipo nyuma ya ajira.
 
Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).

Nafikiri maelezo hayo madogo yanaweza kukusadia ila unaweza uliza zaidi
jngowi nahisi umekata kiu ya mleta uzi
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana kiongozi kwa maelezo mazuri. Nimaelezo madogo kwako lakini kwangu umenifungua na kunitia moyo. Pia Nashukuru kwa angalizo kwamba ujifunzaji wake hauhitaji lelemama hivyo una umeniandaa nikapambane ki kweli kweli.
 
hahahaha! Acha utani broh! Hebu nipeki2 ambacho kinaweza nipa mwanga kidogo. Napozungumzia kulipa namaanisha ajira yake japo tsh pia ipo nyuma ya ajira.

The last thing I will advice someone is to get prepared for employment.employee-employer relationship is just a necessary evil.
 
Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).

Nafikiri maelezo hayo madogo yanaweza kukusadia ila unaweza uliza zaidi

and tell him, the prospective employers are all out to exploit an employee as efficiently as possible.
 
hahahaha! Acha utani broh! Hebu nipeki2 ambacho kinaweza nipa mwanga kidogo. Napozungumzia kulipa namaanisha ajira yake japo tsh pia ipo nyuma ya ajira.

seriously, kama unataka mapesa, basi you are about to select a wrong route "education"
 
After this is the course that you can create your own employment such as providing service to mining industries, oil and gas industries, manufacturing industries etc. Services such as carrying out machine maintenance services, design and installation of refrigeration systems, designing and installation of cold rooms for preserving agricultural produce, and many more. Think to be job creater rather than job seeker. Private investment is now mashrooming in Tz as most of investors they prefer to outsource most of services to private companies and most of these are mechanical related companies.
 
Back
Top Bottom